Unataka akutambulishe wapi tena kama familia yake wanakufahamu, familia ndo muhimu kuliko hao watu wa nje. Amini, anakupenda dada wa watu. Jiamini.Ukweli nikwamba anaonyesha sana kunipenda na ananijali even wadogo zake na family yake wananifahamu kwan huwa na join nao sana tu, am still doubting na hii tabia ya kushindwa kunitambulisha
Pole mkuu, ukiona hivyo ujue kuna anayetambulika. Ambaye rafiki zake wote wanamfahamu, wewe kalaga baho!Ukweli nikwamba anaonyesha sana kunipenda na ananijali even wadogo zake na family yake wananifahamu kwan huwa na join nao sana tu, am still doubting na hii tabia ya kushindwa kunitambulisha
Pole mkuu, ukiona hivyo ujue kuna anayetambulika. Ambaye rafiki zake wote wanamfahamu, wewe kalaga baho!
Kazi kweli dunia hiiNi kweli.......wanawake tuna haka katamaduni......kapo sana tu........
You dont fit within the requirement, yaani anaona hata aibu. pole sana umevamia matawi siyo
Kwa hiyo yupo anayefit? na yeye ndo anafahamika? kazi tunayo.....
Kwa hiyo yupo anayefit? na yeye ndo anafahamika? kazi tunayo.....
hii mbona ipo pande zote........nakutambulisha ili iweje........ wakati sina mabiznes na wewe.........
Ushauri mwingi sana utapata hap JF kulingana na uelewa wa kila mmoja.Nimekuwa katika uhusiano na dada mmoja ambaye tumedumu kwa miaka miwili sasa, tatizo nikwamba hataki kunitambulisha kwa rafiki zake hasa wakiume ambao alikuwa nao vyuoni, na hata anaofanyanao kazi , nikimwambia why anasema not the right time yeye ni dada msomi na anakopato safi, sasa sijui kunanin nyuma ya pazia,