Ninaimani mu wazima kwa ulinzi wa mungu, Jaman nina uvimbe umenitokea mkononi,uvimbe ambao hauumi kabisa na ni mgumu na sio kubwa sana ukiangalia utasema tezi, ila kuna baadh ya cku inachoma kama sindano kwa ndan ila mara chache sana,na pia ngozi kuwasha pembeni naya mara chache! Inaweza kuwa tatizo kubwa au vp maana kuna watu wananiambia kawaida tu.