Naomben ushauri kwa wenye utaalam.

tinames

New Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Ninaimani mu wazima kwa ulinzi wa mungu, Jaman nina uvimbe umenitokea mkononi,uvimbe ambao hauumi kabisa na ni mgumu na sio kubwa sana ukiangalia utasema tezi, ila kuna baadh ya cku inachoma kama sindano kwa ndan ila mara chache sana,na pia ngozi kuwasha pembeni naya mara chache! Inaweza kuwa tatizo kubwa au vp maana kuna watu wananiambia kawaida tu.
 

Ni kweli kwamba sometimes ni hali ya kawaida, inaitwa malignant lakini mind you kwa zama hizi yaweza kuwa cancer hivyo ni vema kuwahi kupima hospitali ili kama kweli ni kansa inatibika ikiwa hatua za awali.
 
Ni kawaida, na huwa unafanyiwa minor operation kuutoa. Nenda hospital uangaliwe vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…