Naomben ushauri kwa wenye uzoefu na nchi ya Msumbiji.

Naomben ushauri kwa wenye uzoefu na nchi ya Msumbiji.

ndesangao

Senior Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
110
Reaction score
28
Mim ni kijana mwanaume naishi dar es salaam,nahitaji kwenda kufanya biashara msumbiji,ninamtaj wa sh.
600000.naomba wafanyabiashara wenyeuzoefu wa huko wanisaidie n biashaea gan ya kufanya.na michanganuo yote.
 
Kwanza hiyo pesa uliyonayo ni ndogo kabisa,walau ungekuwa na mtaji wa mil 2shilingi tungejuwa tukushauri ulete nini
 
Kama ungekuwa umeshawahi kufika awali pesa hiyo ingekutosha, maana ungekuwa unajua pa kupita i.e malazi, masoko n.k. Miaka ya nyuma kidogo kuna jamaa alikuwa anavusha dawa za binadamu, sigara na kandambili mtaji haukuzidi 200k, akawa anapiga hela nzuri tu. Ukumbuke huko kama si mfamasia kukutwa na dawa kesi nzito! Ila ukienda jela shavu wabongo ndo watemi huko.
 
Biashara wanazochukua sana msumbiji naonaga vitenge,kuku,pikipiki n.k kule ni cheap sana
 
Sasa kama ni cheap si ni hasara?mtu achukue kuku huku 10000 akauze 7000?au ulitaka kumaanisha nini?

I thought anaenda kuchukua mzigo kule kama kuuza kwa mwanzoni lazima imuwie vigumu ni kama kuchukua mzigo huku wa nguo ukauze uganda ni kituko... same to kule wengi huenda kuchukua mzigo kule wauze huku maana kule ni cheap...

Sorry kwa kukosea.
 
Back
Top Bottom