Biashara wanazochukua sana msumbiji naonaga vitenge,kuku,pikipiki n.k kule ni cheap sana
Sasa kama ni cheap si ni hasara?mtu achukue kuku huku 10000 akauze 7000?au ulitaka kumaanisha nini?
Una uzoefu (umeenda) siku za karibuni?Hyo hela n ndogo,na msumbj yakupata hela sahz ni monte posh