Naomben ushauri wenu

De NgoXha

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
8
Reaction score
1
Mwili unauma sana karib mwezi na kitu sasa lakini sina homa, na mwili unanguvu kama kawaida ila unauma tu kila siku hasa nikifanya mapenzi keshoyake naamka viungo vyote vinauma hili ni tatizo gani
 
mkuu nenda hospitali ukapate vipimo ndio njia sahihi hakuna ushauri wingine wa mana.
 
Acha kutumia mastyle 20 kwa game moja jaribu kuwa mstaarabu alafu inaonekana hauna mazoezi ya viungo
 
Ukimwi huo umeshakuingia nenda kaanze dozi hakuna namna ...

R.I.P bro tutakukumbuka sana kwa michango yako hapa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…