Naombeni CV ya Harmorapa & Gigy Money

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Habarini Wakuu,

Naomba kwa mwenye CV complete (wasifu) wa wanaoitwa Wanamuziki Maarufu Harmorapa na Gigy Money waweke hapa.
 
Acha kelele tupo busy na ishu ya bashite
shituka kutoka usingizini, petrol bei juu, unga bei juu, Mchele bei juu, mafuta ya kula bei juu, marejesho ya mkopo wa elimu ya juu bei juu, gharama za maisha bei juu. Bado unamuwaza Paul Makonda?
Naomba mambo ya Ngoswe yasiyo kuathiri umwachie Ngoswe mwenyewe , mind your own business
 
Nilicho gundua ni bora ukasutwa na wanawake 10 wakizalamo lakini sio Gwajima Haleluyaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…