Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Kumekuwepo na habari nyingi kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii kwamba miss tz 2016 ana miaka kumi na nane na anashahada ya sheria. Anaejua ukweli atusaidie



Je haya yanayosemwa ni ya kweli?
JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)

Hii ina maana;

Alianza Chuo Kikuu akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ingawa sio mshabiki wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili...

miss Tanzania sio miss wakispot spot
 
Wacheni kumsingizia mtoto wa watu
Watu mashankupe hasira zenu za kushindwa mnamsingizia mmasai wetu lol

Hebu tuambie hapa amesoma wapi sekondari, high school, na chuo kasoma wapi na kamalizia wapi....
Leta Cv Yake
 
Miss mwendokasi!
Hizi habari zitakanushwa vikali, soon utawekwa uzi wa kukanusha haya....
 
Hahahahaaaaaaaaaaaa jf raha sana
 
Kumekuwepo na habari nyingi kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii kwamba miss tz 2016 ana miaka kumi na nane na anashahada ya sheria. Anaejua ukweli atusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…