Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

Tunaomba/tunataka mashindano ya ubibi tutajigharimia kwa kila kitu ila vigezo na masharti tupange sisi na majudge siyo Lundega ila wajukuu zetu na wakwe. Nasema wakwe sababu wakwe zangu nawapenda na kuwajali kuliko hata vibwana vyao sababu wanawatunza na kuwaheshimu vizuri nasisi mamkwe tunapendwa weee.
 
Amesoma English course msihofu atawawakilisha ipasavyo.
 
Wewe kweli hajielewi....hujui haya ni mashindano yenye kubeba au kuwakilisha nchi yetu?
 
We piga kelele tu,mwenzako Lundenga anafaidi sana ujue!!Usipopenda kuliwa kidogo huli...By JK
 
Yuko vizuri kufeli shule sio kufeli maisha
 
Yule ancle....anafurahiaga kuona nyamanyama za nyuma tuu....maana nahic upande huo ni gwiji
 
Kama nikweli hayo ni matokeo yake. Kuna janja nyani kutafuna indi bichi..
 
kwani anaandaliwa akipata u miss atakua mhasibu hapo baadae wabunge wengi watunga sheria wanajua kusoma kiswahili na kuandika tuu huko kwenye U miss mnataka vigezo gani.,
 
Degree za urembo zinapatikana kwa mfumo ufuatao:
1.Mashindano ya vitongoji=elimu ya shule ya msingi.
2.Mashindano ya wilaya=elimu ya sekondari(o-level)
3.Mashindano ya mkoa=elimu ya sekondari(a- level)
4.Mashindano ya kanda=elimu ya shahada(degree)
Kwa hiyo mrembo anaeingia miss Tanzania anakuwa na degree tayari.Ndo hivo.
 
Achane kuharibu maisha ya watu. Miss TZ inaanzia ngazi ya kitongoji ambapo details zote (cv, birth certificates, and education certificates) zinawekwa mezani. Unataka tuamini kuwa hawakuliona hili hata baada ya kufungiwa miaka miwili?😉😉
 
Inawahusu nini? Haka katabia cha kufuatiliana vyeti ni dalili za ushoga na upeo mdogo wa kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…