Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Haliko mda mrefu alianzisha magu akiliita jeshi usuMbona lipo tangu muda mrefu mkuu, jeshi Hili linahusu mambo ya uhifadhi wa vivutio vya utalii
Mpaka leo ni jeshi usu na sio jeshi kamili kisheriaHaliko mda mrefu alianzisha magu akiliita jeshi usu
kwani jeshi usu ni kitu gani tena?Mpaka leo ni jeshi usu na sio jeshi kamili kisheria
Ni jeshi kamili sababu sheria za hilo jeshi zilishapitishwa na kutiwa sign kitamboMpaka leo ni jeshi usu na sio jeshi kamili kisheria
Kitaalam tukisema jeshi usu inafahamika kama paramilitary yaani ni nusu jeshi..na nusu jeshi maana yake ni jeshi ambalo haliruhusiwi kutumia aina zote za silaha kwahiyo kiufupi majeshi yote ni jeshi usu kasoro JWTZok
kwani jeshi usu ni kitu gani tena?
JWTZ ndo jeshi pekee ambalo sio paramilitary sababu wana kila sheria inawaruhusu matumizi ya silaha za aina zote sasa nenda kwenye sheria ya polisi uone kama wameruhusu kutumia RPG, Arm Grenade na VifaruHaya mwanajeshi wa uhifadhi.
Nipe kipengele Cha sheria kinachokataza majeshi yafuatayo kutumia siraha za aina zote.
Na hizo siraha za aina zote naomba uzitaje?
Maana kwa Tanzania majeshi yote yapo nyuma ya Teknolojia iwe Kijeshi au kiuchunguzi..
Hii ipo kwenye sheria yao wakiita jeshi usu.it means paramilitary
1)Jeshi la polisi
2)jeshi la Magereza
3) jeshi la Uhamiaji
4) jeshi la zimamoto
Nipo hapa nimeweka kijiwe kabisa.
Sipo uhifadhi ila majeshi nayajua vzrHaya mwanajeshi wa uhifadhi.
Nipe kipengele Cha sheria kinachokataza majeshi yafuatayo kutumia siraha za aina zote.
Na hizo siraha za aina zote naomba uzitaje?
Maana kwa Tanzania majeshi yote yapo nyuma ya Teknolojia iwe Kijeshi au kiuchunguzi..
Hii ipo kwenye sheria yao wakiita jeshi usu.it means paramilitary
1)Jeshi la polisi
2)jeshi la Magereza
3) jeshi la Uhamiaji
4) jeshi la zimamoto
Nipo hapa nimeweka kijiwe kabisa.
Ukiongea jambo la kitaalam kama hili uwe unanukuu na nyaraka ulikolitoa mfano kama sheria ya jeshi husika au kamusi.Jeshi Usu maana yake ni jeshi ambalo shughuli zake nyingi zinadili na mambo ya kiraia kuliko mambo ya medani au kivita, neno Usu Kwa maana nyingine ni nusu kitu kisicho kamili kwamktadha huo Jeshi ni Moja tu JWTZ hayo mengine ni majeshi USU likiwemo na Hilo jeshi la Uhifadhi ambalo liko chini ya wizara ya maliasili na utalii