With holding tax rate ina vary na huduma uliyotoa. Kama ni ya pango basi ni 10% ya kiasi cha invoice kabla ya vat.
Kama ni malipo ya huduma ni 5%.
Stamp duty ni 01% ya invoice bill.
Utapaswa u pakie invoice kwenye tra web ili kupata control number kabla ya tarehe 7 ya mwezi husika.
Ukishalipia control number tra web itakuletea certificate ya with holding, pia itamtumia certificate hiyo mteja uliyemu issue with holding through his tra web.
Ukikwepa kulipa you are not safe. Siku ya kupeleka hesabu tra wakiona hukulipa watakupaswa ulipe pamoja na penalty.