Wadau wa biashara,
Naombeni msaada wa umuhimu au faida nitakazozipata kwa kufungua business account yan akaunti ya biashara benki ila kabla ya hilo je naweza kufungua as a personal? Yan binafsi au ni kampun ndo ina sifa ya kufungua business account?
Msaada kwa mwenye kuelewa hili.