Dulla Same
Member
- Sep 22, 2018
- 40
- 13
Hahaha dahngoja waje
Samahani Kwa usumbufu,
Naitwa ABDALAH HAMISI, Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2014 nikapata "C" mbili, "D" moja, "E" tatu na "F" moja.... Kwamaana nina GPA ya 0.7
Swali langu: Naweza kujiunga na chuo cha TIA kupitia alama hizo???