Kama mtu mzima hua sina kawaida ya kui'disgrade post ya memberment , lakini hii kiasi hujajitendea haki katika kufikiri kabla hujaipost ! Unaulizaje harufu ambazo hapa hazisikiki na sie tuzijadili ?
Au zidaunlodi uzipest humu nasie tuzinuse! Ndiyo tuchangie .