Naombeni jina la dawa ya kuuwa hawa wadudu Amoeba

Naombeni jina la dawa ya kuuwa hawa wadudu Amoeba

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello waungwana waJF,

Naombeni jina la dawa ya kuuwa hawa wadudu Amoeba ,Thanks my buddies
 
Una uhakika kama ni wemyewe?

Unapaswa kupima na kujua tatizo ndipo utaweza kusaidika ipasavyo
 
Naona sahivi ndio janga.. kuna watu kama 6 hivi naona wanalia lia kuhusu hawa wadudu.
 
Back
Top Bottom