Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,111 Reaction score 2,781 Sep 8, 2023 #1 Hello waungwana waJF, Naombeni jina la dawa ya kuuwa hawa wadudu Amoeba ,Thanks my buddies
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Sep 8, 2023 #2 Una uhakika kama ni wemyewe? Unapaswa kupima na kujua tatizo ndipo utaweza kusaidika ipasavyo
Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Sep 8, 2023 #3 Mavindozii said: Hello waungwana waJF, Naombeni jina la dawa ya kuuwa hawa wadudu Amoeba ,Thanks my buddies Click to expand... Unataka ya kupulizia au ya mtego kama ule wa panya?
Mavindozii said: Hello waungwana waJF, Naombeni jina la dawa ya kuuwa hawa wadudu Amoeba ,Thanks my buddies Click to expand... Unataka ya kupulizia au ya mtego kama ule wa panya?
Gentlemen_ JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 4,431 Reaction score 13,876 Sep 8, 2023 #4 Naona sahivi ndio janga.. kuna watu kama 6 hivi naona wanalia lia kuhusu hawa wadudu.
Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,111 Reaction score 2,781 Sep 8, 2023 Thread starter #5 Mwifwa said: Una uhakika kama ni wemyewe? Unapaswa kupima na kujua tatizo ndipo utaweza kusaidika ipasavyo Click to expand... Ni wenyewe mkuu .
Mwifwa said: Una uhakika kama ni wemyewe? Unapaswa kupima na kujua tatizo ndipo utaweza kusaidika ipasavyo Click to expand... Ni wenyewe mkuu .