Mtu Mbadi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2024
- 403
- 457
Kama kichwa cha habari kinavosomeka, Kijana wenu nimekuja tena kuomba msaada wa kazi yeyote kwa mtu yeyote atakaeguswa.
Elimu yangu ni Bachelor of Science in Forestry (2022) , lakini nipo tayari kwa kazi au mishe yeyote halali itakayonisaidia ingiza kipato (Hata za saidia fundi nipo tayari au sehemu nyingine za ujenzi) , Maana mchagua jembe si mkulima.
Wakuu mliopo Dodoma au hata kama upo sehem nyingine lakin unaweza nisaidia kupata kazi au mishe yeyote hapa Dodoma I will be grateful.
Wasalam,
Namba yangu hii hapa : 0683877594