Kwa muda huu unaongea ivyo Ila ukiipewa Nina uhakika utaikimbiaMkuu hata hiyo ya mshahara kidogo atleast huku ukiendelea tafuta nyingine, kuliko kukosa kabisa.
mkuu naomba ramani ya kazi kwa hapa dodoma nipate chochote kitu mkuu nishike mkono.nicheki
mkuu vipi umefanikiwa kipata kazi au kibarua chochote hapa dodomaKama kichwa cha habari kinavosomeka, Kijana wenu nimekuja tena kuomba msaada wa kazi yeyote kwa mtu yeyote atakaeguswa.
Elimu yangu ni Bachelor of Science in Forestry (2022) , lakini nipo tayari kwa kazi au mishe yeyote halali itakayonisaidia ingiza kipato (Hata za saidia fundi nipo tayari au sehemu nyingine za ujenzi) , Maana mchagua jembe si mkulima.
Wakuu mliopo Dodoma au hata kama upo sehem nyingine lakin unaweza nisaidia kupata kazi au mishe yeyote hapa Dodoma I will be grateful.
Wasalam,
Namba yangu hii hapa : 0683877594
ndugu hujapata hata sehem ya saidia fundi mm mwenyewe natafuta pa kujishikiza kama wwHapana mkuu, bado
nipo maeneo ya ndugai huku kwa masisterUpo mtaa gani mkuu
Ukienda kule Mtumba mji wa serikali, kazi za saidia fundi huwezi kukosa
Sipo huko mkuu, ila unaweza kufanya shughuli gani?mkuu naomba ramani ya kazi kwa hapa dodoma nipate chochote kitu mkuu nishike mkono.
mkuu shughuli yyt ili tu hela ipatikaneSipo huko mkuu, ila unaweza kufanya shughuli gani?
Elimu ujuzi ukoje?mkuu shughuli yyt ili tu hela ipatikane