hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Wakuu,
Nahitaji kuimarisha mahusiano yangu na watu wengine lakini kuna kitu huwa kinanikwamisha nacho ni negativity.
Hili limekuwa serious problem wakuu, Nikikutana na watu wapya huwa nakubalika kwa haraka kisha nawa dominate lakini influence hio haidumu kwa muda mrefu kwasababu wengi huwa najikuta napishana nao kwa kufikiri, tatizo langu kubwa ni negativity yaani nakosoa zaidi kuliko kujenga. Pia inaniwia vigumu mimi kujisubmit au kujinyenyekeza kwa watu hasa wa juu yangu.
Huwa najaribu kubadili mienendo Mingi kwenye maisha ila hili la mindset limenishinda.
Naombeni vitabu vitakavyobadili jinsi navyowaza. Pia kama kuna mbinu zingine Naombeni wakuu.
Asanteni