Omary idd Member Joined Sep 5, 2017 Posts 65 Reaction score 13 Sep 11, 2017 #1 Mimi mgeni humu naitwa omary idd kutoka mwanza kirumba napenda vipindi vya humu kwani ntajifunza zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mgeni humu naitwa omary idd kutoka mwanza kirumba napenda vipindi vya humu kwani ntajifunza zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Sep 12, 2017 #2 Karibu sana mkuu,usisahau kutuma salamu kwa watu wa 3 tafadhali.
J Joto Balaa JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,141 Reaction score 770 Sep 12, 2017 #3 Omary idd said: Mimi mgeni humu naitwa omary idd kutoka mwanza kirumba napenda vipindi vya humu kwani ntajifunza zaidi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hiyo avatar yako isijekuwa umekuja kuona kama unajulikana. Anyway, humu hakuna vipindi ila jichagulie jukwaa na uzi unaoupenda. Once again - KARIBU
Omary idd said: Mimi mgeni humu naitwa omary idd kutoka mwanza kirumba napenda vipindi vya humu kwani ntajifunza zaidi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hiyo avatar yako isijekuwa umekuja kuona kama unajulikana. Anyway, humu hakuna vipindi ila jichagulie jukwaa na uzi unaoupenda. Once again - KARIBU
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 12, 2017 #4 karibu sana JF...........
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Sep 12, 2017 #5 Karibu sana JF weka picha yako ujulikane