Naombeni kueleweshwa namna ya kujua usb orijino

Naombeni kueleweshwa namna ya kujua usb orijino

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,092
Reaction score
2,210
Habari wadau wa tech. Usb yangu ya chaja orijino ya samsung imeharibika. Nikichaji cm inachukua muda mrefu sana kujaa. Jana nimejaribu kutumia usb nyingine cm imejaa hataka sana. Naombeni kujuzwa, nitajuaje kama usb ninayonunua ni orijino?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupata vitu vinavyodumu yahitaji gharama, ukiambiwa USB 20000 au 15000 hapo utaona umepigwa, kumbe muuzaji alinunua ya bei ya juu kwasababu ya ubora, kumbuka ubora hupandisha thamani ya bidhaa, ingawa visivyo na ubora waweza uziwa pia bei mbaya.
Acha kununua usb kwa chinga, na pia ukienda duka la accessories ulizia utofauti wa bei kati ya usb moja na nyingine nzuri mara nyingi zinakuwa priced high.
 
Tafuta duka la uhakika achana na wamachinga. Bei ni kuanzia elfu 15.

Kwa mtaalamu kama mm nikiishika tu USB cord naijua kama hii OG au Substandard
 
Mkuu ni ngumu kujua kama ni original ama feki ila hivi vitu vinaweza kukusaidia.

Download app ya ampere store, hakikisha una kichwa original cha charger yako kabla hujanunua waya mpe muuzaji kichwa achomeke waya wake upime, unaochaji upesi utaonesha zaidi ya amps 1.

Hakikisha pia huo waya ni mnene, usb inayochaji upesi inakuwa na rating ya 24AWG au 24/28AWG, ila usb inayochaji taratibu inakuwa ni 28AWG ama 28/28AWG sema wachina wanaweza kuprint kitu fake kwenye box vile vile.

Mwisho wa siku angalia brand mkuu, kuna baadhi ya brand wanajitahidi kutengeneza accessory kama vile Anker, Rock etc.
 
Njia nzur ni kuagiza usb utapata nzur sana..

Nina usb ya rock na ugreen zote zinapiga kazi fresh
20190308_172655.jpeg

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mkuu ni ngumu kujua kama ni original ama feki ila hivi vitu vinaweza kukusaidia.

Download app ya ampere store, hakikisha una kichwa original cha charger yako kabla hujanunua waya mpe muuzaji kichwa achomeke waya wake upime, unaochaji upesi utaonesha zaidi ya amps 1.

Hakikisha pia huo waya ni mnene, usb inayochaji upesi inakuwa na rating ya 24AWG au 24/28AWG, ila usb inayochaji taratibu inakuwa ni 28AWG ama 28/28AWG sema wachina wanaweza kuprint kitu fake kwenye box vile vile.

Mwisho wa siku angalia brand mkuu, kuna baadhi ya brand wanajitahidi kutengeneza accessory kama vile Anker, Rock etc.
Ahsante sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwa muda sasa nimeachana na bidhaa zenye ubora hafifu zilizopo kwenye local store zetu. Online unapata cable original kwa bei nafuu, brand zangu pendwa za cable ni Ugreen na Baseus.
IMG-20190326-WA0010.jpeg
IMG-20190326-WA0011.jpeg
 
tafuta usb ya oraimo ambayo ipo usb kama usb na sio full charger...mm natumia mwaka wa 3 sasa hv na haijawah kunisumbua

Sent usingJamii Forums mobile app
Hizi USB ziko effective kwa Samsung?

Sent using Samsung Galaxy
 
Back
Top Bottom