yangu ni kama yako, Jellico, safi sana hizi cableNjia nzur ni kuagiza usb utapata nzur sana..
Nina usb ya rock na ugreen zote zinapiga kazi fresh View attachment 1053280
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kwel mkuu na skion nipo na earphone za rock..bas shida tupu hapayangu ni kama yako, Jellico, safi sana hizi cable
Ahsante sana mkuu.Mkuu ni ngumu kujua kama ni original ama feki ila hivi vitu vinaweza kukusaidia.
Download app ya ampere store, hakikisha una kichwa original cha charger yako kabla hujanunua waya mpe muuzaji kichwa achomeke waya wake upime, unaochaji upesi utaonesha zaidi ya amps 1.
Hakikisha pia huo waya ni mnene, usb inayochaji upesi inakuwa na rating ya 24AWG au 24/28AWG, ila usb inayochaji taratibu inakuwa ni 28AWG ama 28/28AWG sema wachina wanaweza kuprint kitu fake kwenye box vile vile.
Mwisho wa siku angalia brand mkuu, kuna baadhi ya brand wanajitahidi kutengeneza accessory kama vile Anker, Rock etc.
Hizi USB ziko effective kwa Samsung?tafuta usb ya oraimo ambayo ipo usb kama usb na sio full charger...mm natumia mwaka wa 3 sasa hv na haijawah kunisumbua
Sent usingJamii Forums mobile app
Zina bei gani mkuuNjia nzur ni kuagiza usb utapata nzur sana..
Nina usb ya rock na ugreen zote zinapiga kazi fresh View attachment 1053280
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Bei chee tu za 1 meter ukiwa na buku 6 unaipata