Naombeni kueleweshwa...

MILITARY

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
64
Reaction score
29
Taarifa ya kamati ya Pinda kuhusu mtihani wa kidato cha nne,ilitakiwa kusomwa na mwenyekiti wa tume au na Lukuvi,kwa sababu bila kukosea mwenyekiti wa tume hiyo ni Profesa Sifuni Mchome. Naomba kuelewesha wana jamvi
 
Hujui Lukuvi ndo wa kutoa muongozo...!! ukiwa ccm hakuna kitu kinaitwa protokali....,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…