Zegota
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 341
- 719
Nina mdogo wangu naona ananichanganya, yeye kasoma Diploma ya Telecom DIT lakini kwa sasa hataki kufanya shahada ya hiyo Telecom anasema anataka akasome shahada ya Industrial Engineering management chuo cha mzumbe.
Kwa vile mimi ndio namfund nilitaka kujua kuhusu sababu za uamuzi wake kwa vile telecom aliipenda mwenyewe na kwa nini sasa aiache, japo hajanipa majibu ya kuniridhisha lakini imebidi niheshimu uamuzi wake, sasa hapa nimejaribu kudownload TCU guidebook ya mwaka jana na huu naona zinagoma.
naombeni mnifahamishe, huyu kwa hiyo kozi yake aliyosoma diploma atakuwa na sifa za kusoma hii kozi anayotaka kwa ngazi ya shahada, then hiyo kozi inahusiana na mambo gani maana isije kuwa ninaitafsiri kwa namna tofauti..
Watu wa fani hiyo, wanafanya kazi maeneo yapi haswa?