Naombeni kufaham tofauti iliopo kati ya gari hizi .BMW X5 na BMW SERIES.ni ipi inauwezo,,na ipi iko juu ya mwingine.

Naombeni kufaham tofauti iliopo kati ya gari hizi .BMW X5 na BMW SERIES.ni ipi inauwezo,,na ipi iko juu ya mwingine.

Umeamua kuwachosha wana jamvi.... ilitakiwa ujue kwanza tofauti ya SUV na sedan kabla ya kuja na bandiko lako
 
Siwezi kupita kimya hivihivi halo angalia gari gani mademu wanalipenda ndio litakua kubwa
 
Back
Top Bottom