Maeleze yako yangependeza zaidi kama ungemalizia kwa kujibu swali kama lilivyoulizwa. Na hili kulijibu swali vizuri pengine ungetwambia ni percentage (concentration) kiasi gani inafaa kwa kinywa cha binadamu kwa ajili ya kinga na bila madhara.Kazi yake ni kulinda fizi dhidi ya mashambulizi ya bacteria
Hapo ni concentration ratio tu zinatofautiana kati ya whitedent na colgate
Ni kweli mkuuMaeleze yako yangependeza zaidi kama ungemalizia kwa kujibu swali kama lilivyoulizwa. Na hili kulijibu swali vizuri pengine ungetwambia ni percentage (concentration) kiasi gani inafaa kwa kinywa cha binadamu kwa ajili ya kinga na bila madhara.
Kwani kiwango kinatofautiana! Kama kazi nikurinda kwanini isingewekwa 100%?Kazi yake ni kulinda fizi dhidi ya mashambulizi ya bacteria
Hapo ni concentration ratio tu zinatofautiana kati ya whitedent na colgate
Usual amount ni 0.76% so kwa maana hiyo whitedent wanatumia the standard amount.Maeleze yako yangependeza zaidi kama ungemalizia kwa kujibu swali kama lilivyoulizwa. Na hili kulijibu swali vizuri pengine ungetwambia ni percentage (concentration) kiasi gani inafaa kwa kinywa cha binadamu kwa ajili ya kinga na bila madhara.
Mkuu kumbuka hizo ni antibacterial ila ni toxic pia kwa binadamu. Kwahiyo lazima ziwe katika appropriate amountsKwani kiwango kinatofautiana! Kama kazi nikurinda kwanini isingewekwa 100%?
mbofu>>>mbovuDawa ya whitedent ni mbofu sana ukitumia ni Kali zaidi mdomoni, haina ladha halafu huleta maumivi kama ina pasua ulimi yaani Mimi nisha achana nayo kitambo! Kuna dakitali aliwahi sema hata walichoandika pale ni uongo mtupu!
Mkuu kuna hii inaitwa SENSODYNE nayo vipi? Nasikia watu wanasema ni nzuri...Usual amount ni 0.76% so kwa maana hiyo whitedent wanatumia the standard amount.
mi huwa natumia majivu, sabuni, miti, mkaa kusafisha meno yangu. Hizo dawa za Wasungu tuwaachie nyinyi watoto wa mjini[/QUOTEmuhenga
mbofu>>>mbovu
maumivi>>maumivu
dakitali>>>daktari
Mkuu, kwa hiyo whitedent wanatudanganya pale hamna kitu kabisa?? sasa alikishauri utumie dawa gani ambayo ni nzuri zaidi??
Sensodyne ni poa pia kama unaweza ipata Pronamel nayo ni nzuri has kwa ambao meno bado hayajaharibika husaidia kuimarisha menoMkuu kuna hii inaitwa SENSODYNE nayo vipi? Nasikia watu wanasema ni nzuri...
anhaa..hapo sawa mkuuSensodyne ni poa pia kama unaweza ipata Pronamel nayo ni nzuri has kwa ambao meno bado hayajaharibika husaidia kuimarisha meno
hahahaAlikishauri>>>alikushauri
naaam