Naombeni kufahamishwa thamani ya pesa ya Zambia kwa Tanzania

Naombeni kufahamishwa thamani ya pesa ya Zambia kwa Tanzania

1 Kwacha = 99.74 Tsh

Hilo nalo umeshindwa kugugo, mkuu?
Tunazidi kujiabisha tu, tunasema jf ni home of great thinkers, sasa mtu una bundle unashindwa Nini kugoogle rate ya kubadilishia pesa mkuu???


Am disappointed!!
Tuwe wastaarabu, mshamba hachekwi, busara ni muhimu hata kwenye mambo madogo.

Yawezekana anajaribu kuuliza jambo flani ila anashindwa kujieleza.
 
Ni hivi pesa ya Zambia kibongo bongo samani yake, ipoje na kuchenchi kwake

Mkuu,

Je, unajua kuwa maswali mepesi kama haya yanajibiwa na google?

Ili upate kwacha moja, inakubidi uwe na shilingi 100...

Screenshot_20241105_225947_Google.jpg
 
Kwahapa bongo taratibu zipoje kuchenchi
 
Back
Top Bottom