Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya plaster ukuta wa ndani unapakwa gypsum powder, wa nje white cement. Baada ya hapo ukuta unapigwa msasa. Ukuta ukiwa smooth baada ya msasa ndio unapiga rangi uitakayo.Wakuu habari zenu, nataraji kufanya finishing kwenye kibanda changu nipo hatua ya skimming na rangi sasa iv, nilikua naitaji kueleweshwa kuhusu hatua za hio stage na material bora kwa ajiri ya skimming na rangi.
Wanachanganyia hiyo gypsum powder na white cement, kwenye wall putty wanatumia maji ila kwenye hiyo white cement na powder wanatumia prema, pia wengine baada ya msasa wanapiga binderAsante mkuu
Naomba kufahamu prema ni kitu gani katika rangi.