Wakuu habari zenu, nataraji kufanya finishing kwenye kibanda changu nipo hatua ya skimming na rangi sasa iv, nilikua naitaji kueleweshwa kuhusu hatua za hio stage na material bora kwa ajiri ya skimming na rangi.

Baada ya plaster ukuta wa ndani unapakwa gypsum powder, wa nje white cement. Baada ya hapo ukuta unapigwa msasa. Ukuta ukiwa smooth baada ya msasa ndio unapiga rangi uitakayo.

Wanachanganyia hiyo gypsum powder na white cement, kwenye wall putty wanatumia maji ila kwenye hiyo white cement na powder wanatumia prema, pia wengine baada ya msasa wanapiga binder