Naombeni kufahamu hili kuhusu kuahirisha kujiunga na chuo

Jihatz

New Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Habari ndugu na jamaa,

Samahanini ninaomba kufaham nilijiunga na chuo mwaka 2022/23 then Nika ahirisha mwaka wa masomo (postpone) nikaambiwa nijiunge mwaka 2023/24 lakini kutokana na sababu zisizo ziwilika nimeshindwa kujiunga na mwaka huu je nikienda kujiunga mwaka wa 2024/25 nitakubaliwa au kupokelewa ikiwa niliambiwa nijiunge mwaka wa 2023/24?
 
Toa taarifa chuoni wao watajua wakusaidiaje mana kila chuo kina utaratibu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…