Naombeni kufahamu kama Step Up Loan sio matapeli

Aisee,matapeli hawajikuisha mpaka wajinga waishe ktk hii dunia...
 
Hakuna mikopo ya aina hii huu ni utapeli
 
Mi niliona pia face book nikapiga simu aliepokea alikuwa dada akanambia hawana hilo tangazo facebook.
Wao wanapatikana posta jengo linaitwa Patel.
Kama unaweza nenda mi sijafanikiwa kwenda bado.
 
Hao jamaa ni wezi. Sasa hivi wanasema mmiliki wake ni Jakaya Kikwete na ofisi zao ziko Dodoma.

Matapeli hao
 
Huyo dada kavaa mask na wala sura yake hiyo
 
Wakuu katika pitapita zangu huko na huko
Nimekutana na ukurasa wa JK kinachoendelea huko ni kwamba wanatoa mkopo kupitia taasisi yao ya Step Loans
Sasa masharti huko ni kujaza form na kuweka Akiba yako kutokana na kiasi unachoomba
Sasa ni wangapi wamewahi kufaidika na hii kitu na vipi baada ya kuweka akiba yao walitumiwa mkopo au ni wizi mitandaoni wakitumia jina la Rais mstaafu vibaya?
Wanaolijua hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…