Hamjambo wakuu,
Napenda kufahamu namna watengenezaji wa sabuni majumbani wanavyopata
faida, hasa sabuni za kipande/miche .
Je , gharama za maligjafi zikoje? Mfano soda ash nk
Je, time consuming ya kuzalisha sabuni ikoje.
Yani inachukua muda gani ziwe tayari kwa soko au matumizi (maana kuna blogu nliona eti unaziweka siku 40 zikauke!!!!)
Soko lake vipi?
Je ipi inafaida zaidi na rahisi ku manufacture kati ya Sabuni ya unga na vipande.
I would like to know how does it profit.
Asanteni.