Naombeni kufundishwa kuendesha Pikipiki

Naombeni kufundishwa kuendesha Pikipiki

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Nimenunua Pikipiki lakini sijui jinsi ya kuendesha, naomba mtu anifundishe jinsi ya kuendesha nitamlipa, napatikana Dar.
 
Nimenunua pikipiki lakini sijui jinsi ya kuendesha, naomba mtu anifundishe jinsi ya kuendesha wala hata nitamlipa, napatikana Dar.

Mimi nitakufundisha, lakini shurti mwanafunzi akae mbele
 
mleta mada pikipiki unayo na ni yako mbona utaijuaa tu hakuna kinachishindikana mkuu....nenda uwanjani jifunze mwenyewe.....kikubwa jua kuiwasha na kuchochea moto kidogo na ujue break ilipo basi
jifunze kuoangilia gia pia...mfano anza na gia namba moja kuondokea ukizoea unaingia ktk gia zingine
 
Habar zenu, mmoja wetu atuorodheshee hatua za kuendesha pikipiki Ili tuwe na idea, samahan lakn
 
Habar zenu, mmoja wetu atuorodheshee hatua za kuendesha pikipiki Ili tuwe na idea, samahan lakn
Unaiwasha, alaf unabana cruch ( ipo kushoto) alaf unaweka gear, utavuta mafuta taratibu wakat unaachia cruch slowly itaanza kwenda yenyewe
 
Ni simple sana, Mimi nilifundishwa siku 1 tu tena nusu saa tu nikajua
 
Unaiwasha, alaf unabana cruch ( ipo kushoto) alaf unaweka gear, utavuta mafuta taratibu wakat unaachia cruch slowly itaanza kwenda yenyewe
😂😂😂😂😂😂
Mkuu siyo rahisi kwa mtu ambaye hajawahi kuendesha pikipiki au gari. Timing ya crachi ya mafuta siyo rahisi kihivyo, kama hujui lazima chombo kizime
 
Back
Top Bottom