Nimenunua pikipiki lakini sijui jinsi ya kuendesha, naomba mtu anifundishe jinsi ya kuendesha wala hata nitamlipa, napatikana Dar.
Unaiwasha, alaf unabana cruch ( ipo kushoto) alaf unaweka gear, utavuta mafuta taratibu wakat unaachia cruch slowly itaanza kwenda yenyeweHabar zenu, mmoja wetu atuorodheshee hatua za kuendesha pikipiki Ili tuwe na idea, samahan lakn
ππππππUnaiwasha, alaf unabana cruch ( ipo kushoto) alaf unaweka gear, utavuta mafuta taratibu wakat unaachia cruch slowly itaanza kwenda yenyewe