Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Ahsante sana kwa mchango wako mkuu...!!Je, hiyo elfu 10 inakulipa ? Je, huduma unazotoa ni bora ukilinganisha na huyo mgeni ? Ukipata màjibu ya hayo maswali utakua na maamuzi yenye busara ma tija.
Kama majibu ni NDIYO, endelea na bei yako maana hakuna mtu asiyependa huduma bora kwa gharama nafuu.
Kama majibu ni HAPANA (hata kama ni swali moja hapana lingine ndiyo) basi boresha huduma kwanza ndipo ujiulize maswala ya bei.
Asante.
Mbona hujamjibu mkuu? Inalipa 10000Ahsante sana kwa mchango wako mkuu...!!
Inalipa kwa hali ilivyo mitaani...Mbona hujamjibu mkuu? Inalipa 10000
Basi endelea na bei hiyohiyoInalipa kwa hali ilivyo mitaani...
Shukrani?Basi endelea na bei hiyohiyo