Naombeni kujua chanzo cha siku ya leo kuitwa siku ya wajinga

Naombeni kujua chanzo cha siku ya leo kuitwa siku ya wajinga

Mtumishi Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
259
Reaction score
92
Wana JF, nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi fools' day inayosherehekewa leo maana yake haswa nini? Ila kikubwa zaidi inasherehekewa na watu gani? Mara nyingi huwa sikukuu yoyote inasherehekewa kitaifa ktk mkoa mojawapo ikaimbatana na mgeni rasmi, ningependa kujua kwa mwaka huu sikukuu hii inasherehekewa wapi kitaifa na mgeni rasmi ni nan?????? Asanteni
 
Sorry, I have no comment kwenye hilo... Labda kwenye avatar yako...lol
 
Avator yangu imefanyaje jamani? Kama inakwaza niitoe..........
 
Back
Top Bottom