Naombeni kujua gharama/procedure ya Kuandikisha jina brela

Naombeni kujua gharama/procedure ya Kuandikisha jina brela

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
525
Reaction score
1,203
Wana jamvi sina maneno mengi naitaji kuandikisha jina la biashara/kampuni yangu brela naombeni kujua gharama na namna ya kufnya mpk nifanikiwe
 
IMG_0504.jpg

Karibu tukuhudumie.
 
Back
Top Bottom