Cbm kwa mfano wa ukubwa wa mzigo wa size ya ndoo ndogo ya lita kumi inacost sh ngap?
Mkuu si umweleweshe vizuri tu? Mambo ya shule yanatoka wapi tena? Kama hajasoma je? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Shule ya msingi kuna hesabu za ujazo.. na form one kuna topic ya hesabu inaitwa volume.. sasa piga hesabu ya mzigo wako .. ukipata jibu nenda kwa silent ocean watakukadiria gharama
Mkuu si umweleweshe vizuri tu? Mambo ya shule yanatoka wapi tena? Kama hajasoma je? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Bora umesema wewe.Mkuu si umweleweshe vizuri tu? Mambo ya shule yanatoka wapi tena? Kama hajasoma je? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mkuu si umweleweshe vizuri tu? Mambo ya shule yanatoka wapi tena? Kama hajasoma je? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ujazo(mΒ³)Cbm inakuaje boss
Nadhani mkuu wao wanaanza kusafirisha mzigo kuanzia ukubwa wa cubic mita 1,hawaaangalii uzito kwani wao husafirisha kwa meli,so kinachomata ni ujazo,Cbm kwa mfano wa ukubwa wa mzigo wa size ya ndoo ndogo ya lita kumi inacost sh ngap?
Ha ha ha,asee umempoteza mtu hapaUjazo(mΒ³)
I think 1cbm = 1000litre
Kwa 10litre itakuwa ni sawa na 0.01cbm.
Mengineyo unaweza wasiliana na wahusika ππππ
Nadhani mkuu wao wanaanza kusafirisha mzigo kuanzia ukubwa wa cubic mita 1,hawaaangalii uzito kwani wao husafirisha kwa meli,so kinachomata ni ujazo,
Ukitaka kusafirisha mzigo wa kupima,watafute unique aircargo kuna jamaa yao humu anaitwa antipas ,sijui kama huyu ni legit ,wanadai kilo moja wanasafirisha tsh 30,000,hiyo ina include na import tax,
Maana ya cubic mita moja,
Chukua urefu wa rula hizi za kawaida wanatumia wanafunzi,hizi za cm 30,
Sasa hizo ziweke kwa urefu mara tatu,,yaani cm 90,upana hivyo hivyo na kimo hivyo hivyo,so ukubwa wa huo mzigo,silent ocean wanakusafirishia kwa usd 600 kama sikosei,,sawa na takriban milioni 1.3,
Hiyo ina include import tax,so mzigo ukifika wewe ni kwenda kulipia hiyo pesa na kuchukua mzigo wako kwenye ofisi zao