Hii ni familia kubwa ndugu hakuna kitu utakosa wacha waje, ila jiandae kisaikolojia wengine wana kera unaweza kuvulikwa na ustaarabu wakoNaombeni kujua jinsi ya kufanya matangazo na mauzo mtandaoni kwa bidhaa za chakula
Yani kuandaa tangazo ni vitu gani nizingatie na vipi havina umuhimu, maana nataka nianze biashara kwa kutangaza mitandaoni ila sijui namna gani ya kutangaza
Msaada tafadhali[emoji120], natanguliza shukrani
Dah kwahiyo huu uzi wameutelekezaNaombeni kujua jinsi ya kufanya matangazo na mauzo mtandaoni kwa bidhaa za chakula
Yani kuandaa tangazo ni vitu gani nizingatie na vipi havina umuhimu, maana nataka nianze biashara kwa kutangaza mitandaoni ila sijui namna gani ya kutangaza
Msaada tafadhali[emoji120], natanguliza shukrani
Shukran [emoji120]Habarii, maelezo yako ni mafupi sana, ulitakiwa ujielezeee huku ukijtangaza, mfano mm ni fulani ,nipo mkoa fulani wilaya fulani tz , nafanya baishara ya chakula cha binadamu au mifugo nonaomba muongozo wa kuweka matangazo ktk sehemu moja na mbili hapo wana watakuja haraka sanaaa kukupa muongozo boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sikufanikiwaUlifanikiwa?
Unafanya biashara wapi na biashara gani?
Wateja wako ni watu wa aina gani?
Budget yako ya chini unayoweza kuhimili kulipa tangazo ni kiasi gani?
Mtandao upi wa kijamii unautumia zaidi?
Okay, natumaini huwa una post hizo biashara katika mitandao ya kijamii kama huko X.Hapana sikufanikiwa
Eneo langu la biashara niko mbezi, na nafanya biashara ya mikoba na keki
Kwenye mikoba bado sijapata soko
Budjet ya chini naweza kulipia ni 5k
Na mtandao ninaotumia zaidi ni twitter
mtandao wa X na aina hiyo ya biashara naona kama sio mtandao sahihiHapana sikufanikiwa
Eneo langu la biashara niko mbezi, na nafanya biashara ya mikoba na keki
Kwenye mikoba bado sijapata soko
Budjet ya chini naweza kulipia ni 5k
Na mtandao ninaotumia zaidi ni twitter
Shukran [emoji120] sana kuna kitu nimepata hapa 🫡mtandao wa X na aina hiyo ya biashara naona kama sio mtandao sahihi
fungua account instagram uwe nazo mbili ya cake na hiyo mikoba
kuhusu cake
anza kupost picha zako za cake na short videos zako unazoandaa cake wajuvi wanaita behind the scene
uwe na picha picha nyingi kidogo lakini ziwe zako na usisahau kuweka watermark usijeibiwa
pili hakikisha account umeigeuza kuwa ta biashara na isiwe private
tatu usipost mambo yako personal kwenye account ya biashara post issues za cake tu
fanya hivyo kwenye account ya mikoba pia
halafu sasa tafuta mtu akufundishe hata kwakumlipa namna ya kucheza na algorithm ili ulipost tangazo upate wateja
budget ya 5k ni ndogo sana italiwa tu siku hizi ushindani ni mkubwa sana mwenye budget ya kueleweka ndo anaonwa sana
angalau $3 kwa siku na minimum 3day max 7days
all the best dear
Ni kwa namna gani naweza lipia tangazoOkay, natumaini huwa una post hizo biashara katika mitandao ya kijamii kama huko X.
Fungua na page ya facebook na instagram kwa ajili ya ku post.
Tumia line ya voda au airtel kutengeneza card kwa ajili ya kulipia post utakayoichagua kama tangazo, ikiwa ya video ni vizuri zaidi.
Unaweza kulipia tangazo likaangaliwa na watu wengi lakini usipate mteja au ukapata wachache, kuna vitu utatakiwa ujifunze katika ku set tangazo ambalo litawafikia walengwa wako kwa maana ya location n.k
Ni suala linahitaji ka muda kidogo na ustahimilivu, budget ya 5k ni ndogo lakini inatosha kwa kuanzia, huku ukiongeza matumizi ya mbinu za bure au gharama ndogo, kama vile ku post video fupi unazoweza ku record hata kwa simu.
Kama bado kuna ugumu nishtue
Ni kwa namna gani naweza lipia tangazo
karibuShukran [emoji120] sana kuna kitu nimepata hapa 🫡