Habari zenu wapendwa na ombeni kujuzwa hichi kitu lakini na tumaini majimbu mengi yata toka sana upande wa ke..naomben kujua kazi ya cream mbalimbali zinazo patikana maduka ya vipodozi..na kwann kuna baadhi ya watumiaji wana kuwa na rangi nzuri usoni yenye kuteleza na kupendeza kushinda sehemu zingine lakini kuna baadhi ya watumiaji wana rangi moja kuanzia chini hadi usoni.