wadau,
Mkoa wa Morogoro hasa maeneo ya manispaa, ujenzi umekuwa unagubikwa na fault ya nyumba kuathirika na chumvi inayosabishwa na aina ya madini yalio kwenye ardhi (soil properties resulted from the rocks that formed the soil). sasa naomba kwa wale wataalam wa ujenzi watusaidie, je mbinu gani za kutumia?
Kwa wale waliotembelea Mkoa wa Moro, ukiangalia kwa makini kwenye kingo za kuta nje na ndani kunalika sana! na nyumba nyingine zimakatika viuno
Asanteni sana
hahahaha asante, nimecheka mpaka basi
.........yaani umekalia kucheka wakati utata hujauondoa !? mimi naweza kukusaidi ushauri kwenye kudhibiti chumvi ya "mbele" kwani sina uzoefu na chumvi ya "nyuma" ! samahani lakini !
kwa mazingira ya morogoro fanya yafuatayo:-1-baada ya kuchimba msingi (foundation trench) na kushindilia vizuri tandika NGOZI ULAYA(Damp proof membrane) kufuata mle utakapopita msingi then jenga msingi wako mpaka level unayoitaka.2-kabla ya kuanza course za tofali tandika karatasi maalum la kuzuia unyevu(Damp proof course) ,nadhani huu ni ujenzi wa nyumba za kawaida.kama utafuata maelekezo hayo hakuna hyo chumvi wala magari utakayoona.na material yote hupatikana kwny hardwares shops na kama hujanielewa utaniuliza.karibu!
Huu ushauri ni hakika. Tatizo hilo nililiona hata Dodoma. na nilipoongea na watu wenye fani zao za ujenzi wakanishauri, niweke DPC. Kwangu imesaidia sana. labda kama chumvi itatokea tena miaka ya baadayekwa mazingira ya morogoro fanya yafuatayo:-1-baada ya kuchimba msingi (foundation trench) na kushindilia vizuri tandika NGOZI ULAYA(Damp proof membrane) kufuata mle utakapopita msingi then jenga msingi wako mpaka level unayoitaka.2-kabla ya kuanza course za tofali tandika karatasi maalum la kuzuia unyevu(Damp proof course) ,nadhani huu ni ujenzi wa nyumba za kawaida.kama utafuata maelekezo hayo hakuna hyo chumvi wala magari utakayoona.na material yote hupatikana kwny hardwares shops na kama hujanielewa utaniuliza.karibu!
Asante kwa ushari wako Mgaya wengi tulikuwa tunaweka dampo proof peke yake chini hatutandiki kitu na magadi yalikuwa yanapanda.Na je nitafanyaje ili kuondoa magadi kwenye ukuta kwani tofali nilizojengea kuna kipindi zinapandisha magadi na kusababisha rangi badanduka na ukuta kuwa mweupe
Wizara ya ujenzi ina maabara mikoani pote, hapa Dar es salaam inaitwa CML -Central Materials Laboratory.wadau,
Mkoa wa Morogoro hasa maeneo ya manispaa, ujenzi umekuwa unagubikwa na fault ya nyumba kuathirika na chumvi inayosabishwa na aina ya madini yalio kwenye ardhi (soil properties resulted from the rocks that formed the soil). sasa naomba kwa wale wataalam wa ujenzi watusaidie, je mbinu gani za kutumia?
Kwa wale waliotembelea Mkoa wa Moro, ukiangalia kwa makini kwenye kingo za kuta nje na ndani kunalika sana! na nyumba nyingine zimakatika viuno
Asanteni sana
Mgaya D.W,the solution uliyotoa ni ya kweli kabisa,ila ni before construction,je kama umeshamaliza nyumba yako na ishaanza kuumuka ukuta unazuiaje?....nimeshajaribu kuweka waterproof cement,ikazuia kwa muda ila ilipoisha nguvu ndo ikazidi,ukipaka normal cement ndo bure kabisa...if there is an effective solution naomba pia muiweke.
BANDUGU BADO NASUBIRI MSAADA ZAIDI! bRO MGAYA WAPI TENA!
Unaitumiaje ndugu??Tumia white cement story kwisha na thread imefungwa, mtu akiendelea ban
Yaani nibandue ile ngozi ya ukuta yote halafu ndio tupige white cement kama plasta??Tumia white cement story kwisha na thread imefungwa, mtu akiendelea ban