Naombeni kujua nitawezaje kujua kampuni halali ya kufanya malipo online

lift gharama

Senior Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
107
Reaction score
66
Wadau salamu kwenu.

Naombeni kujua nitawezaje kujua kampuni halali ya kufanya malipo online. Niliwahi kununua kitabu online nilikoma. Majamaa wakaendelea kukata hela kwenye akaunti yangu kila wiki kwa viwango tofauti.

Nisaidie nitajuaje kampuni halali na fake.

Asanteni. Jumapili njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…