Naombeni kujuzwa dawa ya kuondoa wekundu kwenye jicho moja

Naombeni kujuzwa dawa ya kuondoa wekundu kwenye jicho moja

Morg

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
1,301
Reaction score
1,788
Naimbeni kujuzwa dawa ya kuondoa wekundu kwenye jicho moja.

Haliumi Wala kuwasha niliamka ndio nikakuta hiyo hali

Nitumie dawa gani jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa nywele imeingia kwenye jicho litaisha lenyewe tu ni usirichokonoe liache tu
 
Asali mbichi inaondoa huo wekundu, unchukua kidogo unaweka jichoni fanya mara mbili kwa siku.
 
Jicho langu limeweka wekundu limoja linanipa hofu Sana maana niliamka. Ñdio nikakuta hiyo hali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali kama hii
_124663618_ojosconsangre.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom