Naombeni kujuzwa juu ya hii kitu wanaiita aim glob

elia stephen

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
263
Reaction score
82
Wakuu habari za hapa,natumaini mko salama.Wakuu kuna watu wananifuata inbox face book na kunishawishi nijiunge na hiyo Aim globe.sasa mpaka naileta kwenu hapa in kqamba naogopa kuingia choo cha like.Japo nimegoogle lakini bado sijapata shuhuda anitoe wasi wasi.In hayo tuu wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…