Naombeni kujuzwa juu ya hii kitu wanaiita aim globe

Naombeni kujuzwa juu ya hii kitu wanaiita aim globe

elia stephen

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
263
Reaction score
82
Wakuu habari za hapa, natumaini mko salama,

Wakuu kuna watu wananifuata inbox facebook na kunishawishi nijiunge na hiyo Aim globe. Sasa mpaka naileta kwenu hapa in kwamba naogopa kuingia choo cha kike.Japo nimegoogle lakini bado sijapata shuhuda anitoe wasi wasi.

Ni hayo tuu wakuu.
 
Back
Top Bottom