Hi,kuna hii tendency nimekuwa naiona kwa akina mama waliozaa watoto waliowatosha,wanafunga kizazi kabisa ili kuepukana na hizi njia na uzazi wa mpango ambazo zina madhara kadha wa kadha.
Naombeni kujuzwa kama kuna madhara yoyote kiafya kufunga kizazi maana nimesikia wengine wanasema ukifunga kizazi kabla hujafikia umri wa menopause utakuwa unaumwa sana,kuna madhara yoyote kufunga uzazi katika umri wowote?mradi umeshamaliza kuzaa?