Nàombeni kujuzwa kidogo kuhusu hapa wajuzi

Nàombeni kujuzwa kidogo kuhusu hapa wajuzi

Morg

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
1,301
Reaction score
1,788
Poleni na majukumu ya kila siku
Mm ningependa kujua utofauti uliopo baina ya Gari lenye ccc kubwa lkn kwenye speed linasoma 180 na kuna kampuni ya Germany car unakuta lina ccc ndogo lkn kwenye speed linasoma 260

Haya magari yakianzisha ligi kwa pamoja hili lenye ccc ndogo lkn lina speed kubwa linashinda na kumpiga huyu mwenye ccc kubwa lkn kwenye speed linasoma 180 hapo ndo pananichanganya


Najua humu kuna wajuzi kibao ningependa na nyie mshee uzoefu wenu hapa
 
Ukubwa wa engine (cc) sicho kigezo cha kuifanya gari ikimbie. Ukishajua hilo tutakua sawa naamini.
 
Itabidi uwe na rwd car
Gari lako lisiwe zito saaana na liwe na power yakueleweka kidogo kufanya matairi yaspin .....
Kama utakua uko serious sasa na drifting yenyewe sio burnouts wala donughts wanazopiga vijana wa bongo itabidi
Tuning kwenye gari ifanyike
Mfano:steering angle iongezwe ,camber and other things kama (sijui nimepatia) e brake maalumu kwa ajili ya drifting...lakn gari zuri kwanza ndo muhimu rwd yenye power ya kutosha na weight ya kawaida....for starters....
Mimi sio mjuzi saaana ila kwa watakaopita hapa kama kuna kitu nimekosea naomba nirekebishwe...[emoji3] sorry for the bad arrangement lool
Umeelewa swali mzee baba?
 
Back
Top Bottom