Itabidi uwe na rwd car
Gari lako lisiwe zito saaana na liwe na power yakueleweka kidogo kufanya matairi yaspin .....
Kama utakua uko serious sasa na drifting yenyewe sio burnouts wala donughts wanazopiga vijana wa bongo itabidi
Tuning kwenye gari ifanyike
Mfano:steering angle iongezwe ,camber and other things kama (sijui nimepatia) e brake maalumu kwa ajili ya drifting...lakn gari zuri kwanza ndo muhimu rwd yenye power ya kutosha na weight ya kawaida....for starters....
Mimi sio mjuzi saaana ila kwa watakaopita hapa kama kuna kitu nimekosea naomba nirekebishwe...[emoji3] sorry for the bad arrangement lool