Mkuu ,faida za e commerce
1.kuuza bidhaa zako
2.kuuza biashara za wengine
3.kupata pesa kutokana na matangazo au kutoka kwa wanaotangaza bidhaa zao
Changamoto zake in
1.jins ya kupata visitors
2.jinsi ya kuitangaza
3.jins ya kuimantain kama hauna uzoefu
Tovuti kama hizo tunatengeneza mfano ya bei rahisi ni hii
autogurugarage (kama hii inaanzia 400k) ,Hata ukitaka kama hizo za kama eBay na alibaba pia tunatengeneza ila gharama ipo juu kidogo(kuanzia 800k)
Wateja wanapatikana endapo una budget ktk promotion (uwe na pesa ya kufanyia matangazo ya tovuti yako)
Kwa Maelezo zaidi na ushauri au kama ungependa kutengenezewa hiyo tovuti njoo inbox
Mawasiliano: 0765696086
Email:
prospermtabo@gmail.com