Naombeni kujuzwa nawezaje kupata Scholarship ya kusoma Msc. in Civil Engineering Canada na USA

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habari za leo wadau Great Thinkers,

Sasa leo naombeni mnipe mwonozo maana nimechoka kugoogle mimi nimehitimu degree in civil engineering mwaka 2018 na nina GPA ya 3.1 na hapa nina wadau wangu wanaoishi USA na Canada, sasa wamenipa ofa nifanye application nione kama naweza kupata chap USA na CANADA. Ada watanilipia; shida ipo hapa kwenye kutafuta vyuo, kwenye internet mambo ni mengi nime -Google mpaka nimechoka.

Naombeni mnipe mbinu wadau kwa hizo datails zangu ni mbinu gan nitumie kupata vyuo japo niwatumie email ya kuomba scholarship kwa GPA yangu hii ya 3.1

Natanguliza shukran za dhati.
 
Sasa kama una wadau wapo huko na watakulipia ada.. mbona tayari kila kitu! Watumie hao hao wadau wakufanyie mambo yote kama kweli wana nia ya kukusaidia.. na ni google ipi unayotumia ambayo imeshindwa kutambua vyuo vya usa na canada??
Nimekusoma ndugu !! Tatizo hawa ni km wananipima ili nioneshe dedication kuwa nataka niende kusoma so huu ni mtihan nimepewa nijitafutie chuo mwenyewe
 
Believe me ni kikwazo hasa km unadhaminiwa ila km una wazaz wako na wana pesa huko GPA ni taka taka tu

Dodo acha Ushamba wa GPA ni hivi

kwa USA, Lazima ufanye Test 2, ya kwanza ni GRE na ya pili ni TEOFIL/IELTS

Zote hizo test si chini ya Tshs 1,200,000, kumbuka kuna kufeli pia.

kiwango cha chini kwa IELTS kwa ufadhili ni 6.0bands na GRE ni 50bands nadhani.

kabla hujaanza chochote unatakiwa uwe na hizo.

ukiwa na hizo ndio unaweza kuomba kwa scholarships ukafanikiwa ila sio zile za Common wealth au UN maana zile wanataka OUTSTANDING PERFORMANCE kuanzia Olevel( hizi zinapitia michakato mingi sana ya interview, ukipata hizi wewe ni kweli unajua)

kingine kwa za kawaida tu, ukiwa na usd 5,000 unapata bila shida, hizi wanapata wengi wa watoto wenye nazo.
 
Idea unayo. Embu tuambie izo test unazifanya vipi na nilazima uwe ume qualify kwenye izo test ndio uanze kuomba hayo maombi ya vyuo au vp ?
 
unatakiwa uwe umefanya kwanza, kwakua wakati wa kuomba chuo kuna mahali watakuambia uwape matokeo na usubmitt vyeti vya hizo test

IELTS unafanya British council, hizo zingine wanafanyiaga pale Mwalimu Nyerer dsm
 
Dodo acha Ushamba wa GPA ni hivi

kwa USA, Lazima ufanye Test 2, ya kwanza ni GRE na ya pili ni TEOFIL/IELTS

Zote hizo test si chini ya Tshs 1,200,000, kumbuka kuna kufeli pia.

kiwango cha chini kwa IELTS kwa ufadhili ni 6.0bands na GRE ni 50bands nadhani.

kabla hujaanza chochote unatakiwa uwe na hizo.

ukiwa na hizo ndio unaweza kuomba kwa scholarships ukafanikiwa ila sio zile za Common wealth au UN maana zile wanataka OUTSTANDING PERFORMANCE kuanzia Olevel( hizi zinapitia michakato mingi sana ya interview, ukipata hizi wewe ni kweli unajua)

kingine kwa za kawaida tu, ukiwa na usd 5,000 unapata bila shida, hizi wanapata wengi wa watoto wenye nazo.
Ngoja nifuatilie hzo test ila hio pesa pia yaweza kuwa changamoto vp kuhusu canada wao wana mfumo gan
 
Habari za leo wadau Great Thinkers,

Sasa leo naombeni mnipe mwonozo maana nimechoka kugoogle mimi nimehitimu degree in civil engineering mwaka 2018 na nina GPA ya 3.1 na hapa nina wadau wangu wanaoishi USA na Canada, sasa wamenipa ofa nifanye application nione kama naweza kupata chap USA na CANADA. Ada watanilipia; shida ipo hapa kwenye kutafuta vyuo, kwenye internet mambo ni mengi nime -Google mpaka nimechoka.

Naombeni mnipe mbinu wadau kwa hizo datails zangu ni mbinu gan nitumie kupata vyuo japo niwatumie email ya kuomba scholarship kwa GPA yangu hii ya 3.1

Natanguliza shukran za dhati.
Dah kwel kazi ipo
 
Hapana kama tayari una ufadhili wewe unataka kupata admission tu ya chuo bas. Hivyo unaweza kupata chuo bila hata ya mitihani sio vyuo vyote wanataka mitihani ikiwa una mfadhiri wako
 
Hv io mitihan inakuwa ya nn hasa ? Au somo gan ?
 
Mitihani zaidi inakua English na Hebasu, Usa wanapenda zaidi SAT. Lakn kama una ufadhili mezani ni bora ukaaly Uni moja kwa moja
 
Back
Top Bottom